KARIBUNI SANA KATIKA BLOGU HII AMBAYO ITAKUWA IKIWALETEA HABARI KATIKA PICHA. NIMATUKIO YA KILA AINA AMBAYO YATAKUWA YAKIJIRI HUMU- MICHEZO, BURUDANI, UCHUMI, SIASA, NK. UKUAJI WA BLOGU HII UNAKUTEGEMEA SANA WEWE MPITIAJI. KARIBUNI NYOTE (mrokimroki@yahoo.co.uk)

Monday, October 16, 2006

Heshima Hela

Heshima hela, haya ndio maneno yaliyopo nyuma ya baiskeli hii maarufu kama Guta. Kijana anafanya kazi apatefedha aweze kuheshimika mtaani.


0 Comments:

Post a Comment

<< Home